Kitunguu swaumu kinatibu Mafua
Menya kitunguu swaumu, pata vipunje vidogo, unaweza kumeza na chai au maju ya Moto....Tumia kila siku mara 2
Kitunguu swaumu kinapunguza Presha...Blood Pressure.
Ulaji wa kitunguu swaumu kibichi mara kwa mara ina weka presha ya damu yako katika kiwango sahihi
Vitunguu swaumu vinapunguza mafuta mabaya ya Cholestoral, hivyo kuondoa uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo
Vitunguu Swaumu vinaondoa sumu mwilini, hasa chemicali tunazokula kwenye vyakula vya kopo au vinywaji
Vitunguu Swaumu vinaimarisha mifupa
Vitunguu swaumu vinaongeza nguvu za kiume
Yaani vitunguu swaumu vinarudisha nguvu za kiume kama zimepungua
katika Mapishi hasa pilau, vitunguu swaumu ni muhimu
Kuhifadhi vyakula, twanga vitunguu swaumu changanya na nyama au kuku.....haviharibiki
Vitunguu Swaumu vinatibu Typhodi....Vitunguu swaumu vinatibu homa ya Matumbo
Tiba za asili kwa kutumia mimea na vyakula ni faida kubwa. Mimea kama vitunguu swaumu, mdalasini, malimao, matikitiki maji na mimea mingine hutibu magonjwa kama typhoid, malaria, presha na huongeza nguvu za kiume, fuatilia na soma zaidi
Monday, September 26, 2016
Faida za Vitunguu swaumu ni katika Dawa na Chakula bora
Vitunguu Swaumu ni mmea wa jamii ya Vitunguu maji, na faida zake ni kubwa katika Chakula na Tiba.
Vitunguu Swaumu kwa Kiingereza ni Garlic na vinatoa dawa inaitwa Allicin. Hii Allicin huhifadhiwa katika Kitunguu swaumu na ndo inaleta ladha nzuri katika vyakula hasa Pilau na ndo kiini cha tiba.
Kitunguu swaumu kinatibu Mafua
Menya kitunguu swaumu, pata vipunje vidogo, unaweza kumeza na chai au maju ya Moto....Tumia kila siku mara 2
Kitunguu swaumu kinapunguza Presha...Blood Pressure.
Ulaji wa kitunguu swaumu kibichi mara kwa mara ina weka presha ya damu yako katika kiwango sahihi
Vitunguu swaumu vinapunguza mafuta mabaya ya Cholestoral, hivyo kuondoa uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo
Vitunguu Swaumu vinaondoa sumu mwilini, hasa chemicali tunazokula kwenye vyakula vya kopo au vinywaji
Vitunguu Swaumu vinaimarisha mifupa
Vitunguu swaumu vinaongeza nguvu za kiume
Yaani vitunguu swaumu vinarudisha nguvu za kiume kama zimepungua
katika Mapishi hasa pilau, vitunguu swaumu ni muhimu
Kuhifadhi vyakula, twanga vitunguu swaumu changanya na nyama au kuku.....haviharibiki
Vitunguu Swaumu vinatibu Typhodi....Vitunguu swaumu vinatibu homa ya Matumbo
Kitunguu swaumu kinatibu Mafua
Menya kitunguu swaumu, pata vipunje vidogo, unaweza kumeza na chai au maju ya Moto....Tumia kila siku mara 2
Kitunguu swaumu kinapunguza Presha...Blood Pressure.
Ulaji wa kitunguu swaumu kibichi mara kwa mara ina weka presha ya damu yako katika kiwango sahihi
Vitunguu swaumu vinapunguza mafuta mabaya ya Cholestoral, hivyo kuondoa uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo
Vitunguu Swaumu vinaondoa sumu mwilini, hasa chemicali tunazokula kwenye vyakula vya kopo au vinywaji
Vitunguu Swaumu vinaimarisha mifupa
Vitunguu swaumu vinaongeza nguvu za kiume
Yaani vitunguu swaumu vinarudisha nguvu za kiume kama zimepungua
katika Mapishi hasa pilau, vitunguu swaumu ni muhimu
Kuhifadhi vyakula, twanga vitunguu swaumu changanya na nyama au kuku.....haviharibiki
Vitunguu Swaumu vinatibu Typhodi....Vitunguu swaumu vinatibu homa ya Matumbo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment